Ziara ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi visiwani Zanzibar

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akiongozana na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu (kushoto), baada ya kumaliza ziara ya ukaguzi wa huduma za Kiuhamiaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,Visiwani Zanzibar. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akimsikiliza Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu (kushoto), wakati wa ziara ya ukaguzi wa huduma za Kiuhamiaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Visiwani Zanzibar. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akiongozana na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu (katikati), wakati wa ziara ya ukaguzi wa huduma za Kiuhamiaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,Visiwani Zanzibar. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akiongozana na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu (kushoto), wakati wa ziara ya ukaguzi wa mradi wa ukarabati wa nyumba za askari polisi wa uhamiaji(zinazoonekana pichani), zilizopo Kiembe Samaki,Visiwani Zanzibar. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news