Mechi ya fungua mwaka baina ya watani wa jadi, Simba SC na Yanga SC leo Januari 13, 2021 katika dimba la Amaan mjini Unguja katika Jiji la Zanzibar ikiwa wawili hawa wanawania Kombe la Mapinduzi.
Hii ni orodha ya mabingwa Mapinduzi CUP
Mwaka Bingwa Mshindi wa Pili
2007 Yanga SC Mtibwa Sugar
2008 Simba SC Mtibwa Sugar
2009 Miembeni KMKM
2010 Mtibwa Sugar Ocean View
2011 Simba SC Yanga SC
2012 Azam FC Simba SC
2013 Azam FC Tusker FC
2014 KCCA Simba SC
2015 Simba SC Mtibwa Sugar
2016 URA Mtibwa Sugar
2017 Azam FC Simba SC
2018 Azam FC URA FC
2019 Azam FC Simba SC 2-1
2020 Mtibwa Sugar Simba SC 1-0
Tags
Michezo
Simba tupeni raha jamani
ReplyDeleteGooooool.....NI YANGA
ReplyDelete