LIVE:WAZIRI PROF. KABUDI AKIONGEA NA WAANDISHI KUHUSU ZIARA YA RAIS FILIPE NYUSI WA MSUMBIJI


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza na waandishi wa habari mjini Chato mkoani Geita  kuhusu  ujio wa Rais wa Msumbiji, Mhe. Felipe Nyusi ambaye anatarajiwa kufanya ziara ya siku  mbili nchini kuanzia Januari 11 na  12, 2021.

Post a Comment

1 Comments

  1. Safi sana. Hongereni kwa habari za mapema

    ReplyDelete