Picha za msongamano wa Watalii Uwanja wa Abeid Amani Karume zamuibua Waziri


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Khamis (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa maafisa wa Uhamiaji wakati wa ziara yake katika Uwanja wa Aman Abeid Karume uliopo jijini Zanzibar. Waziri huyo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa maagizo ya haraka kwa Idara ya Uhamiaji. Fuatilia hapa chini;

No comments

Powered by Blogger.