Rais Magufuli aweka jiwe la msingi ujenzi Chuo cha VETA mkoani Kagera

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Bodi ya Elimu ya na Mafunzo Stadi (VETA) Bw. Peter Maduki baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa
ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha mkoa wa Kagera eneo la Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo Januari 18, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha mkoa wa Kagera eneo la Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo Januari 18, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa China Nchini Mhe. Wang Ke akiweka la msingi la mradi wa ujenzi wa Chuo cha Elimu na Ufundi Stadi (VETA) cha mkoa wa Kagera eneo la Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo Januari 18, 2021.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa China nchini Mhe. Wang Ke baada ya kuweka la msingi la mradi wa ujenzi wa Chuo cha Elimu na Ufundi Stadi (VETA) cha mkoa wa Kagera eneo la Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo Januari 18, 2021. (Picha zote na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news