Nyota wa Yanga SC,Saidi Ntibazonkiza amechaguliwa kuwa mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mwezi Desemba msimu huu wa 2020/2021.
Kocha wa Yanga, Cedric Kaze amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mwezi Desemba msimu huu wa 2020/2021. Wakati huo huo;
Tags
Michezo