TRA:Walipa kodi epukeni kutapeliwa na huyu LAURENT


Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatoa wito wa tahadhari kwa Watanzania na walipa kodi wote, kuwa waangalifu ili wasije kuangukia katika mikono ya matapeli ambao dhamira zao ovu zinaendelea kuchunguzwa kwa ajili ya kuwakamata na kuwachukulia hatua za kisheria mapema.

Post a Comment

0 Comments