Utabiri wa hali ya hewa Januari 11, 2021 'MVUA KUBWA'

 Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Januari 11, 2021 unaletwa kwenu na mchambuzi Noel Mlay kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).


Vipindi vya Mvua vinatarajiwa kuendelea katika maeneo mengi ya nchi yetu. TMA inataka tuchukue tahadhari.

No comments

Powered by Blogger.