Utabiri wa hali ya hewa Januari 7, 2021 'MVUA MAENEO MENGI'

  

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 kuanzia saa 3 usiku wa leo Januari 7, 2021 unaletwa kwenu na mchambuzi Latifa Nyembo. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, mvua zinatarajiwa kunyesha katika maeneo mengi isipokuwa maeneo ya Tanga na visiwa vya Unguja na Pemba.


Post a Comment

0 Comments