Utabiri wa hali ya hewa leo Januari 12, 2021Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku leo Januari 12, 2021 kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Kwa mujibu wa TMA,vipindi vya mvua vinatarajiwa kuendelea katika maeneo mengi ya nchi hivyo uchukue tahadhari.

No comments

Powered by Blogger.