Utabiri wa hali ya hewa leo Januari 4, 2021

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 kuanzia saa 3 usiku leo Januari 4, 2021 unaletwa na mchambuzi, Magreth Massawe kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Kwa mujibu wa TMA,mvua zinatarajiwa kunyesha katika mikoa mingi hapa nchini.

Post a Comment

0 Comments