Utabiri wa hali ya hewa/ Weather Forecast today January 18, 2021

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Januari 18, 2021 unaletwa kwenu na mchambuzi, Noel Mlay kwa lugha ya Kiswahili kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). 

WEATHER FORECAST JANUARY 18, 2021

Weather forecast for the next 24 hours starting 21:00 tonight on today January 18, 2021 as presented by analyst Thereza Ngassa from Tanzania Meteorological Authority (TMA).

 UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO: TAREHE: 18/01/2021

Mikoa ya Morogoro, Iringa, Njombe, Songwe, Mbeya na Rukwa inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua

.....

Mikoa ya Kagera, Geita,  Mwanza, Shinyanga, Mara, Simiyu, Kilimanjaro, Manyara, Arusha, Kigoma, Tabora Katavi, Ruvuma, Dodoma na Singida inatarajiwa kura na Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

.....

Mikoa ya Pwani (ikijumuisha Visiwa vya Mafia), Dar es Salaam  Tanga, Lindi na Mtwara pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba kunatarajiwa kunatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.

.....

VIWANGO VYA JOTO KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI

(Kiwango cha juu cha joto / Kiwango cha chini cha joto)

ARUSHA   29 / 16°C

D'SALAAM   31 / 24°C

DODOMA   28 / 19°C

KIGOMA   29 / 21°C

MBEYA   23 / 14°C 

IRINGA   26 / 16°C

NJOMBE   21 / 12°C

MWANZA  28 / 19°C

TABORA   28 / 18°C

TANGA   31 / 24°C

ZANZIBAR   32 / 25°C

.....

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini, na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi.

.....

Matarajio kwa siku ya Jumatano tarehe 20/01/2021: Kuongezeka kwa mvua katika ukanda wa Pwani.

.....

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 18/01/2021 na;

 MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news