Waziri wa Mambo ya Nje wa China atembelea mwalo wa Chato


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akimkaribisha rasmi nchini Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi na ujumbe wake kabla ya kufanyika mazungumzo rasmi wa pande hizo mbili mjini Chato mkoa wa Geita leo Ijumaa Januari 8, 2021 ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake nchini.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Mashimba Ndaki akimpatia maelezo Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi kuhusu samaki wa aina mbalimbali na minofu yao wanaopatikana katika Ziwa Victoria wakati mgeni huyo alipotembelea Mwalo wa Chato mkoani Geita mapema asubuhi ya leo Ijumaa Januari 8, 2021.

Post a Comment

0 Comments