Yajayo yazidi kufurahisha Zanzibar, Rais Dkt.Mwinyi azidi kuimarisha umoja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi na kushoto kwake ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na kulia kwa Rais ni Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zuberi Ali Maulid, wakishiriki katika mazoezi ya pamoja ya viungo yakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Ndg. Omar Hassan King, baada ya kumaliza matembezi katika viwanja vya Amaan jijini Zanzibar, wakati wa Tamasha la Kitaifa la Mazoezi ya Viungo Zanzibar lililofanyika leo Januraiu Mosi, 2021. (Picha na Ikulu/ Diramakini). 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Cheti cha Heshima cha Mshiriki namba moja wa Mazoezi Zanzibar, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mazoezi ya Viungo Zanzibar (ZABESA), Ndg.Said Suleiman, wakati wa hafla ya mazoezi ya viungo ya pamoja yaliofanyika katikia Uwanja wa Amaan jijini Zanzibar. (Picha na Ikulu/Diramakini).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wamichezo ya Mazoezi ya Viungo Zanzibar yalioazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan jijini Zanzibar na kulia kwake ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Spika wa Baraza la Wawakilishi, Mhe.Zuberi Ali Maulid na kushoto kwa Rais ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mhe. Tabia Maulid Mwita, wakiwasili katika Uwanja wa Amaan kumalizia matembezi ya Mazoezi ya Viungo yaliofanyika leo. (Picha na Ikulu/Diramakini).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Tamasha la Mazoezi ya Kitaifa ya Viungo Zanzibar na kushoto kwa Rais ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mkewe Mama Sharifa Omar Khalfan kulia kwa Rais ni Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe.Zuberi Ali Maulid, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa wakishirika katika tamasha la matembezi ya mazoezi ya Viungo Zanzibar yalioazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Kisonge jijini Zanzibar na kumalizia katika Uwanja wa Amaan. (Picha na Ikulu/ Diramakini).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wamichezo ya Mazoezi ya Viungo Zanzibar yalioazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani na kumalizikia katikia Uwanja wa Amaan jijini Zanzibar na kulia kwake ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Spika wa Baraza la Wawakilishi, Mhe.Zuberi Ali Maulid na kushoto kwa Rais ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mhe. Tabia Maulid Mwita, wakiwasili katika Uwanja wa Amaan kumalizia matembezi ya Mazoezi ya Viungo yaliofanyika leo. (Picha na Ikulu/ Diramakini).
Baadhi ya Washiriki wa Tamasha la mazoezi ya Viungo la Kitaifa Zanzibar wakishirika katika mazoezi hayo yakiongozwa na Kocha kutoka Kikundi cha Bandari, Khatib Kaburi (hayupo pichani) mazoezi hayo ya pamoja yamefanyika katika Uwanja wa Amaan jijini Zanzibar. (Picha na Ikulu/ Diramakini).
Wanamazoezi wa Kikundi cha mazoezi ya Viungo kutoka Dar es Salaam cha Dar Jogging wakishiriki katika Tamasha la Mazoezi ya Viungo la Kitaifa Zanzibar wakipita katika jukwaa kuu la viongozi wakati wa kumalizia matembezi hayo na kupokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) na kujumuika katika mazoezi ya pamoja yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan jijini Zanzibar. (Picha na Ikulu/ Diramakini).
Mshiriki wa Mazoezi ya Viungo Zanzibar, Bi. Halima Muhamad Othman (60) kutoka Kikundi cha Mazoezi cha Solution Fitness Club cha Magogoni Zanzibar akishiriki katika mazoezi hayo yaliofanyika katika Uwanja wa Amaani jijini Zanzibar. (Picha na Ikulu/ Diramakini).
Washiriki wa Tamasha la Mazoezi ya Viungo Kitaifa Zanzibar, Bi. Pili Mwalimu (kulia) na Bi.Kazija Othman wakimaliza matembezi ya Tamasha la Kitaifa la Mazoezi ya Viungo Zanzibar wakipita katikja jukwaa kuu la Viongozi katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar kumalizia matembezi hayo yalioazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani kisonge na kumalizia Uwanja wa Amaan kwa mazoezi ya pamoja. (Picha na Ikulu/ Diramakini).
Wanamichezo wa Kikundi cha mazoezi ya Viungo kutoka mkoani Dodoma wakishiriki katika Tamasha la Mazoezi ya Viungo la Kitaifa Zanzibar wakipita katika jukwaa kuu la viongozi wakati wa kumalizia matembezi hayo na kupokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) na kujumuika katika mazoezi ya pamoja yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan jijini Zanzibar. (Picha na Ikulu/ Diramakini).
Wafanyakazu wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar wakishiriki katika Tamasha la Mazoezi ya Viungo la Kitaifa Zanzibar wakipita katika Jukwaa la Viongozi katika Uwanja wa Amaan, matembezi hayo ya mazoezi ya Viungo Zanzibar yamepokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) na kujumuika katika mazoezi ya pamoja yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan jijini Zanzibar. (Picha na Ikulu/ Diramakini).
Washiriki wa Tamasha la Mazoezi ya Viungo la Kitaifa Zanzibar wakipita katika jukwaa kuu la Viongozi wakati wa kumalizia matembezi hayo katika viwanja vya Amaani na kujumuika katika mazoezi ya pamoja yaliofanyika katika uwanja huo. (Picha na Ikulu/ Diramakini).
Washiriki wa Tamasha la Mazoezi ya Viungo la Kitaifa Zanzibar wakipita katika jukwaa kuu la viongozi wakati wa kumalizia matembezi hayo katika viwanja vya Amaani na kujumuika katika mazoezi ya pamoja yaliofanyika katika uwanja huo. (Picha na Ikulu/ Diramakini).

Post a Comment

0 Comments