Mwandishi wa ITV na Radio One Stereo,
Vedasto Msungu amefariki dunia leo saa 11 jioni Jumatano Februari
17,2021 wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya
Mkoa wa Morogoro. SIKILIZA LIVE HAPO CHINI
Kwa tukio lolote la habari, makala au picha wasiliana nasi Diramakini Business Limited saa 24 kupitia +255 719254464 au barua pepe; diramakini@gmail.com
No comments