Matukio yaliyojiri bungeni leo Februari 4, 2021 katika picha


Mbunge wa Mtwara Mjini, Mhe. Hassan Mtenga (kushoto) akiteta jambo na Mbunge wa Mwanga, Joseph Thadeyo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya wabunge kutoka Mkoa wa Mara kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 4, 2021. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mwita Waitara, Mbunge wa Butiama, Jumanne Sagini, Mbunge wa Musoma Mjini, Vedasto Mathayo na Mbunge wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo.

No comments

Powered by Blogger.