Makamu wa Rais ahutubia Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika jana, Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. (Picha zote na OMR).Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo juu ya Somo la Sayansi kutoka kwa Wanafunzi wa Taasisi ya Shule ya Msingi Kawe alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika jana, Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo Juu ya Somo la Biology kutoka kwa Mwanafunzi Aisha Yahya wa Shule ya Sekondari Juhudi alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika jana, Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Wapili kulia ni Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako.Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo Juu ya Somo la Fani ya Umeme kutoka kwa Mwanafunzi Esther Fabian wa Chuo cha VETA Dar es salaam alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika jana, Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo Juu ya Somo la Biomedical Equipment Engineering kutoka kwa Wanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika jana, Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Wapili kusho ni Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako.Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, akiangalia Viatu vya aina mbalimbali vinavyotengenezwa na Wanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika leo Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo Juu ya Somo la Biomedical Equipment Engineering kutoka kwa Mwanafunzi Dotnatha Ntunga wa Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika leo Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Wapili kusho ni Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako.Washiriki wakiwa ukumbini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news