Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani atumia usafiri wa baiskeli kwenda kutatua kero za wananchi


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini,Khamis Hamza Chilo akiwasili katika Kijiji cha Bambi kilichopo katika Shehia ya Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja leo kwa ziara ya kikazi ikiwemo kusikiliza kero za wananchi akitumia usafiri wa baiskeli ili kuweza kuwafikia wananchi waliopo maeneo ya ndaniPicha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news