Rais Dkt.Mwinyi afanya mazungumzo na Wajumbe wa Bodi ya MKURABITA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA ) walipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha wakiwa Zanzibar katika ziara yao ya siku nne kuzungumza na Wananchi wa Zanzibar.(Picha na Ikulu).
Wajumbe wa Bodi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa mazungumzo yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, yaliofanyika Ikulu leo 11-2-2021.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania ( MKURABITA) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais )Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya MKURABITA.Bi. Immaculata Mwanja Senje.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mtaribu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) Dkt.Seraphia Mgembe, akitowa maelezo ya utendaji wa Mipango wa MKURABITA, wakati wa mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu nJijini Zanzibar leo 11-2-2021 na (kushoto kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa MKURABITA Bi. Immaculata Mwanja Senje.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya MKURABITA Bi. Immaculata Mwanja Senje.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news