Rais Dkt.Mwinyi ateua Makatibu Tawala wa Mikoa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu Namba 53 cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 na Kifungu 15 (1) cha Sheria ya Tawala za Mikoa Namba 8 ya 2014 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa kama ifuatavyo;


Post a Comment

0 Comments