Rais Magufuli afungua majengo ya ofisi, madarasa, mabweni Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi pamoja na Wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kiwanda cha ushonaji Bohari Kuu ya Jeshi la Polisi na kufungua Ofisi, Madarasa na Mabweni ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Februari 2021.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro akizungumza kwenye mkutano mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kiwanda cha ushonaji Bohari Kuu ya Jeshi la Polisi na kufungua Ofisi, Madarasa na Mabweni ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Februari 2021. Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi pamoja na wananchi wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Februari 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka kukagua Majengo ya Madarasa ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam mara baada ya kuyafungua leo tarehe 26 Februari 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kiwanda cha Ushonaji Bohari Kuu ya Jeshi la Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo 26 Februari 2021. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene akizungumza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kiwanda cha ushonaji Bohari Kuu ya Jeshi la Polisi na kufungua Ofisi, Madarasa na Mabweni ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Februari 2021. PICHA NA IKULU Mabweni ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam kama yanavyooekana mara baada ya kufunguliwa leo tarehe 26 Februari 2021 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Maguful.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news