TFF yamtambulisha Mdenmark Kim Polusen kuwa kocha mpya Taifa Stars


Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemtambulisha Mdenmark Kim Polusen kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya wakubwa, Taifa Stars akichukua nafasi ya Mrundi, Etienne Ndayiragijje aliyeondolewa hivi karibuni.

Post a Comment

0 Comments