Utabiri wa hali ya hewa/ Weather Forecast today February 24th, 2021

UTABIRI WA HALI YA HEWA WA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3 USIKU WA LEO TAREHE 24/02/2021

Mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Mara, Simiyu, Mbeya, Songwe, Iringa, Rukwa, Njombe, Pwani (ikijumuisha Visiwa vya Mafia), Kigoma, Tabora, Katavi, Dar es Salaam, Tanga, Ruvuma, Morogoro, Dodoma, Singida, Visiwa vya Unguja na Pemba, Lindi na Mtwara inatarajiwa Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

Mikoa ya Manyara, Kilimanjaro na Arusha inatarajiwa Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, VYA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI Kiwango cha juu Kiwango cha chini
cha joto cha joto
ARUSHA 28°C 18°C
D'SALAAM 30°C 25°C
DODOMA 28°C 19°C
KIGOMA 30°C 19°C
MBEYA 25°C 15°C
IRINGA 26°C 17°C
NJOMBE 20°C 12°C
MWANZA 27°C 22°C
TABORA 29°C 18°C
TANGA 32°C 25°C
ZANZIBAR 31°C 25°C
.......................
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo.
Matarajio kwa siku ya Ijumaa tarehe 26/02/2021: Mabadiliko Kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 24/02/2021.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

Post a Comment

0 Comments