Mikoa ya Rukwa, Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe, Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Dodoma na Singida, Mara na Simiyu: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu, Mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua.
..........
Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha Visiwa vya Mafia),Tanga pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba, Shinyanga, Kagera, Geita Mwanza, Tabora, Kigoma, Katavi, Morogoro, Ruvuma, Lindi na Mtwara: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
..........
VIWANGO VYA JOTO, VYA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI Kiwango cha juu Kiwango cha chini
cha joto cha joto
ARUSHA 29°C 16°C
D'SALAAM 32°C 24°C
DODOMA 29°C 20°C
KIGOMA 28°C 20°C
MBEYA 28°C 18°C
IRINGA 27°C 16°C
NJOMBE 19°C 12°C
MWANZA 29°C 19°C
TABORA 30°C 19°C
TANGA 32°C 24°C
ZANZIBAR 32°C 25°C
...........
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo.
Matarajio kwa siku ya Jumatatu tarehe 08/02/2021: Kuongezeka kwa mvua katika maeneo ya Nyanda za Juu Kaskazini Mashariki na Kati mwa Nchi.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 06/02/2021.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
.............