Utabiri wa hali ya hewa/ Weather Forecast today February 7th, 2021

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE: 07/02/2021.

Mikoa ya Rukwa, Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe, Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Lindi, Mtwara, Ruvuma Dodoma, Singida pamoja na Kusini mwa Mkoa wa Morogoro: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu, Mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua.
...........
Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha Visiwa vya Mafia): Shinyanga, Mara, Simiyu, Kagera, Geita, Mwanza,Tabora, Kigoma, Katavi, Tanga (pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba), na Kaskazini mwa Mkoa wa Morogoro: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
...........
VIWANGO VYA JOTO, VYA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI Kiwango cha juu Kiwango cha chini
chajoto cha joto
ARUSHA 29°C 16°C
D'SALAAM 32°C 24°C
DODOMA 29°C 20°C
KIGOMA 28°C 20°C
MBEYA 28°C 18°C
IRINGA 28°C 16°C
NJOMBE 19°C 12°C
MWANZA 29°C 19°C
TABORA 30°C 19°C
TANGA 32°C 24°C
ZANZIBAR 32°C 25°C
...........
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa Kiasi hadi Makubwa.
Matarajio kwa siku ya Jumanne tarehe 09/02/2021: Kuongezeka kwa mvua katika maeneo ya Nyanda za Juu Kusini
Magharibi.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 07/02/2021.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news