Vyama vya Siasa vyanufaika kupitia mafunzo ya ujazaji fomu za marejesho gharama za uchaguzi


Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa(ARPP), Sisty Nyahoza akisisitiza jambo wakati kwa washiriki wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za marejesho ya gharama za uchaguzi Februari 24, 2021 katika ukumbi wa Samwel Sitta zilizopo Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yamewashirikisha viongozi kutoka Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) na United Democratic Party (UDP).Kulia ni Mwenyekiti wa mafunzo hayo Muhidin Mapeyo.
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa(ARPP), Sisty Nyahoza akisisitiza jambo wakati kwa washiriki wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za marejesho ya gharama za uchaguzi. Mkuu wa Sehemu ya Usajili wa Vyama vya Siasa toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) na Mwenyekiti wa mafunzo, Bw. Muhidin Mapeyo akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
Naibu Katibu Mkuu – Bara wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Bw. Yustasi Rwamugira akichangia mada wakati wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
Katibu Mkuu wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Bw. Richard Lyimo akichangia mada wakati wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
Katibu Mkuu wa Chama cha United Democratic Party(UDP), Bibi. Saumu Rashid akichangia mada wakati wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa (ARPP), Sisty Nyahoza (walio kaa kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) mara baada ya kumaliza mafunzo ya namna ya kujaza fomu za marejesho ya gharama za uchaguzi tarehe 24 Februari 2021 katika ukumbi wa Samwel Sitta zilizopo Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam.
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa(ARPP), Sisty Nyahoza (walio kaa kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha United Democratic Party(UDP) mara baada ya kumaliza mafunzo ya namna ya kujaza fomu za marejesho ya gharama za uchaguzi leo tarehe 24 Februari 2021 katika ukumbi wa Samwel Sitta zilizopo Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam. Kulia walio ka ani Kaimu Msajili Msaidizi anayeshughulikia Uchaguzi na Ruzuku, Bibi. Hollo Kazi. (Picha zote na ORPP).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news