Waziri Simbachawene ateta na Watendaji Wakuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akizungumza na Watendaji Wakuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji kazi. Kikao hicho kilifanyika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dk. Anorld Kihaule.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akizungumza na Watendaji Wakuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji kazi. Kikao hicho kilifanyika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dk. Anorld Kihaule.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akizungumza na Watendaji Wakuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji kazi. Kikao hicho kilifanyika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Wapili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dk. Anorld Kihaule. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news