ACT WAZALENDO YAIBUKA KIDEDEA JIMBO LA PANDANI


Mgombea uwakilishi jimbo la Pandani kupitia chama cha ACT Wazalendo, Profesa Omar Fakih Hamad, ameibuka mshindi baada ya kupata kura 2361 dhidi ya kura 1934 alizopata mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mohamed Juma Ali.

Post a Comment

0 Comments