Majaliwa abubujikwa na machozi wakati akitoa heshima za mwisho kwa Hayati Dkt.Magufuli


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitokwa na machozi wakati alipotoa heshima za mwisho kwa mwili wa Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam leo Machi 20, 2021. Kushoto ni Mkewe Mary Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Post a Comment

0 Comments