RAIS SAMIA AWASILI JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Dodoma kwa mara ya kwanza tokea kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Machi 21,2021. (Picha na IKULU).

Rais Samia ataongoza utoaji hesima na kuuaga mwili katika tukio la Mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli, kwenye Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, kesho.

Post a Comment

0 Comments