🔴𝐋𝐈𝐕𝐄:TAIFA STARS VS EQUATORIAL GUINEA LEO

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo ipo Dimbani kutafuta tiketi ya kufuzu AFCON2021 dhidi ya Equatorial Guinea. Stars ipo Group J yenye timu za Tunisia wenye alama 10, Equatorial Guinea alama 6, Taifa Stars wakiwa na alama 4 na Libya alama 3. Baada ya mechi ya leo, Taifa Stars watakuja kukipiga na Libya jijini Dar es Salaam Machi 28, 2021.

Post a Comment

0 Comments