Ujenzi wa Daraja la Tanzanite wafikia asilimia 70.6 kukamilika mwishoni mwa mwaka huu


Ujenzi wa Daraja la Tanzanite (km 1.03) ambalo linapita katika Bahari ya Hindi kuunganisha eneo la Agha Khan pamoja na Coco Beach umefikia asilimia 70.6 na linatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.
Excavator ikishushwa chini ya sakafu ya bahari kwa ajili ya kazi ya kuchimba katika muendelezo wa kazi za ujenzi wa Daraja la Tanzanite (km 1.03) ambalo linapita baharini kuunganisha eneo la Agha Khan pamoja na Coco Beach Ujenzi wa Daraja la Tanzanite (km 1.03) ambalo linapita baharini kuunganisha eneo la Agha Khan pamoja na Coco Beach ukiendelea kwa kasi.
Daraja la Tanzanite lina urefu wa km 1.03, upana mita 20.5 pamoja na barabara unganishi zake zenye urefu wa zaidi ya km 5.2, litakuwa na njia 4 za magari pamoja na njia 2 za watembea kwa miguu. (Picha zote na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments