Balozi Liberatha, Balozi Mbarouk waapa kuwa Wabunge la Tanzania

Waziri Mteule wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberatha Mulamula akiapa kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Naibu Waziri Mteule wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akiapa kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. (Picha zote na Wizara ya Mambo ya Nje).

Post a Comment

0 Comments