Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 17, 2021

Wanafunzi wanaoacha shule tishio jipya nchini Tanzania, linaripoti Gazeti la Mwananchi.

Mapadri, watawa na walei watekwa, linaripoti Gazeti la Kiongozi
Kipa Mtibwa anasema kuwa, Chama, Kagere wamefunga mabao  makali, linaripoti Gazeti la Champion
Mwanasiasa mkongwe Dovutwa anasema kuwa, viatu vya Hayati Dkt.John Pombe Joseph Magufuli vinamtosha Rais Samia, linaripoti Gazeti la Changamoto.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema kuwa, atashirikiana na wanahabari katika kuisemea Serikali, linaripoti Gazeti la Jamvi la Habari.
Wastaafu 6,800 waweka mafao ya Bilioni 1/- kibindoni, linaripoti Gazeti la Nipashe.
Msomi Chuo Kikuu aeleza namna anavyopiga pesa kwa kuuza biskuti, linaripoti Gazeti Uhuru.

Post a Comment

0 Comments