Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 18, 2021

Mahojiano maalum: Waziri wa Hayati Dkt.John Pombe Joseph Magufuli afichua siri alivyokwepa ufisadi, linaripoti Gazeti la Nipashe.

Aishi Manula apandiwa dau, awekewa nusu bilioni mezani, Simba SC yakubali kupokea ofa, linaripoti Gazeti la Spoti Xtra.
Umoja wa Mataifa unasema kuwa, utaenzi juhudi za Hayati Dkt.John Pombe Joseph Magufuli, linaripoti Gazeti la Jamvi la Habari.
Vigogo wafunguka Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), linaripoti Gazeti la Mzalendo.
Rais mpya wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Edward Hoseah atangaza kuanza na sheria kandamizi, linaripoti Gazeti la Mwananchi.

Jeuri ya Kajala na mtoto wake Paula huko Dubai yavuja, yadaiwa Wasafi hawahusiki na chochote, linaripoti Gazeti la Risasi.
 
Mufti ahamasisha waumini kusoma Qur'an, Waislamu waitega Serikali kodi ya tende, linaripoti Gazeti la Imaan.

Post a Comment

0 Comments