Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 19, 2021


Kiwanda cha kuchakata mihogo kujengwa wilayani Chalinze Mkoa wa Pwani, linaripoti Gazeti la Mwananchi.


Hakuna Yanga anayeingia First Eleven ya ya Simba SC, linaripoti Gazeti la Champion

Usiyoyajua kuhusu Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere, linaripoti Gazeti la Jamvi la Habari.

Viongozi wa dini wawajia juu wanasiasa wanafiki, linaripoti Gazeti la Nipashe

Watumishi wa umma 90,000 kupandishwa madaraja serikalini, linaripoti Gazeti la Uhuru.
Bocco arejea kibingwa, Simba bado tatu tu kileleni, yaipiga presha Yanga, linaripoti Gazeti la Mwanaspoti

Waziri atumbua vigogo wa Maji, linaripoti Gazeti la Majira.

Post a Comment

0 Comments