Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 21, 2021


Rais Samia aliweka sawa Bunge, linaripoti Gazeti la Afrikaleo


Msuya afunguka zuio la mikutano ya siasa, linaripoti Gazeti la Mwananchi.

Harmonize anavuta bangi? Risasi limechimba kwa undani, linaripoti Gazeti la Risasi.

Bernard Morrison atupwa nje Simba, linaripoti Gazeti la Champion.

SUPER LEAGUE: Kwanini vilabu vikubwa vya soka vinaanzisha ligi mpya, linaripoti Gazeti la Jamvi la Habari.

Harmonize, Kajala na Paula wahojiwa kashfa mtandaoni, linaripoti Gazeti la Nipashe.

TRA yaanza utekelezaji wa maelekezo ya Rais Samia, linaripoti Gazeti la Majira.

Wanachama 32 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wajitokeza kuwania Ubunge Jimbo la Buhingwe, linaripoti Gazeti la Uhuru.Post a Comment

0 Comments