Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 24, 2021Mbatia, Rugwe watoa neno kauli ya Rais Samia, linaripoti Gazeti la Mwananchi


Askofu Mkude ataka mapadri kukataa sera za ushoga, linaripoti Gazeti la Kiongozi

Tuwe na vyanzo vingi vya umeme, Mbunge ashauri akijadili hoja bungeni, linaripoti Gazeti la Al-Huda

Mama Dangote anasema mimba ingemuua, linaripoti Gazeti la Ijumaa.

Rais Samia akonga nyoyo za Watanzania, aahidi kukutana na wapinzani, linaripoti Gazeti la Hoja.

Serikali yafanya maamuzi magumu ununuzi wa ufuta, linaripoti Gazeti la Jamvi la Habari.

Askofu achambua hotuba ya Rais Samia, linaripoti Gazeti la Nipashe

Usiyoyajua kuhusu Anna Abdallah na Mzee Msekwa, linaripoti Gazeti la Uhuru

Post a Comment

0 Comments