Mabosi wa NMB, NBC, CRDB wakifuatilia kwa makini hotuba ya Rais Samia bungeni jijini Dodoma


Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna akiwa na Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB Bw. Filbert Mponzi wakifuatilia kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipolihutubia Bunge la Jamhuri jijini Dodoma kwa mara ya kwanza siku ya Alhamisi Aprili 22, 2021.  Pamoja nao ni Mkurugensi Mtendaji Mkuu wa Benki ya NBC Bw. Theobald Sabi akifuatiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bw. Abdulmajid Nsekele.

Post a Comment

0 Comments