Makamu wa Rais afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa ofisi yake

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Bibi Mary Ngelela Maganga Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, wakati Katibu Mkuu Maganga alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo April 27,2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana kwa Ishara maalum na Bibi Mary Ngelela Maganga Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, wakati Katibu Mkuu Maganga alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo April 27,2021.

Post a Comment

0 Comments