Makamu wa Rais afanya ziara ya kushtukiza Hospitali ya Uhuru jijini Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, akipata maelezo kuhusu Maendeleo na Changamoto mbalimbali zinazoikabili Hospitali ya Uhuru Jijini Dodoma kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo Dr. Pius Kagoma wakati alipotembelea kwa kushitukiza leo April 26,2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na kusikiliza Changamoto mbalimbali kutoka kwa Wahudumu wa Hospitali ya Uhuru Jijini Dodoma wakati alipotembelea kwa kushitukiza katika Hospitali hiyo leo April 26,2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news