Makamu wa Rais Dkt.Mpango ateta na Waziri Balozi Liberata Mulamula


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula wakati Waziri Mulamula alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Aprili 23,2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, a kizungumza na Mkuu wa Itifaki CP Balozi Yusuf Mndolwa Tindi wakati Waziri Mulamula alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Aprili 23,2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais.

Post a Comment

0 Comments