Rais Samia afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 04 Aprili, 2021 amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara, Naibu Makatibu Wakuu wa Wizara na Wakuu wa Taasisi mbalimbali kama ifuatavyo;

Makatibu Wakuu.

1. Ikulu.

· Katibu Mkuu - Dkt. Moses Mpogole Kusiluka

2. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

· Katibu Mkuu – Prof. Riziki Silas Shemdoe

· Naibu Katibu Mkuu – Bw. Jerald Geofrey Mweli (Elimu)

· Naibu Katibu Mkuu – Bi. Grace Maghembe (Afya)

3. Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

· Katibu Mkuu – Dkt. Laurian Josephat Ndumbaro

· Naibu Katibu Mkuu – Dkt. Francis Kasabubu Michael

4. Ofisi ya Makamu wa Rais.

· Bi. Mary Ngelela Maganga

· Bw. Mohammed Abdallah Khamis

5. Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.

· Katibu Mkuu – Tixon Tuyangine Nzunda

· Naibu Katibu Mkuu – Prof. Jamal Adam Katundu

· Naibu Katibu Mkuu – Bw. Caspary Caspary Muya

6. Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji.

· Katibu Mkuu – Prof. Godius Kahyarara

7. Wizara ya Fedha na Mipango.

· Katibu Mkuu – Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba

· Naibu Katibu Mkuu – Bw. Adolf Hyasinth Ndunguru

· Naibu Katibu Mkuu – Bi. Amina Khamis Shaaban

· Naibu Katibu Mkuu – Bw. Khatib Malimi Kazungu



8. Wizara ya Katiba na Sheria.

· Katibu Mkuu – Bw. Sifuni Ernest Mchome

· Naibu Katibu Mkuu – Bw. Amon Anastaz Mpanju

9. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

· Katibu Mkuu – Dkt. Faraj Kasidi Mnyepe

10. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

· Katibu Mkuu – Brig. Jen. Wilbert A. Ibuge

· Naibu Katibu Mkuu – Balozi Fatma Rajab

11. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

· Katibu Mkuu – Bw. Christopher Derek Kadio

· Naibu Katibu Mkuu – Bw. Ramadhan Kailima Kombwey

12. Wizara ya Viwanda na Biashara.

· Katibu Mkuu – Bw. Doto Mgosha James

· Naibu Katibu Mkuu – Dkt. Hashil TWaibu Abdallah

13. Wizara ya Madini.

· Katibu Mkuu – Bw. Simon Samwel Msanjila

14. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

· Katibu Mkuu – Bi. Mary Gasper Makondo

· Naibu Katibu Mkuu – Bw. Nicholas Mserinyo Mkapa

15. Wizara ya Maji.

· Katibu Mkuu – Bw. Anthony Damian Sanga

· Naibu Katibu Mkuu – Bi. Nadhifa Sadiki Kemikamba

16. Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

· Katibu Mkuu – Dkt. Hassan Abbas Said

· Naibu Katibu Mkuu – Dkt. Ali Possi

17. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

· Katibu Mkuu – Dkt. Leonard D. Akwilapo

· Naibu Katibu Mkuu – Prof. James Epiphan Mdoe (Elimu, Sanyansi na Teknolojia)

· Naibu Katibu Mkuu – Dkt. Carolyne Ignatius Nombo (Elimu ya Msingi, Elimu ya Sekondari na Ufundi Stadi)

18. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.

· Katibu Mkuu – Dkt. Abel Nkono Makubi

· Katibu Mkuu – Dkt. John Anthony Kiang’u Jingu

19. Wizara ya Kilimo.

· Katibu Mkuu – Bw. Andrew Wilson Massawe

· Naibu Katibu Mkuu – Prof. Siza Donald Tumbo

20. Wizara ya Mifugo na Uvuvi.

· Katibu Mkuu – Dkt. Rashid Adam Tamatamah

· Katibu Mkuu – Prof . Elisante Gabriel Laizer

21. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.

· Katibu Mkuu – Bw. Joseph Kizito Malongo (Ujenzi)

· Katibu Mkuu – Bw. Gabriel Joseph Migire (Uchukuzi)

22. Wizara ya Nishati.

· Katibu Mkuu – Mhandisi Leonard Robert Masanja

· Naibu Katibu Mkuu – Bw. Kheri Abdul Mahimbali

23. Wizara ya Maliasili na Utalii.

· Katibu Mkuu – Dkt. Allan Herbert Kijazi

· Naibu Katibu Mkuu – Bw. Ludovick James Nduhiye

24. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

· Katibu Mkuu – Dkt. Zaunabu Abdi Chaula

· Naibu Katibu Mkuu – Dkt. Jim James Yonazi



Wakuu wa Taasisi na Idara za Serikali.

1. Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali – Bw. Gerson Partinus Msigwa.

2. Mganga Mkuu wa Serikali - Dkt. Aifello Wedson Sichwale.

3. Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) – Bw. Alhayo Japan Kidata.

4. Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya – Bw. Gerald Kusaya Musabila.

5. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) – Dkt. Jabir Bakari Kuwe.

6. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) – Bw. Masha John Mshomba.

7. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) – Bw. Erick Benedict Hamis.

8. Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Meli Tanzania (TASAC) – Bw. Kaimu Abdi Mkeyenge.

9. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) – Bw. Thobias Mwesiga Richard.

Uteuzi huu unaanza leo tarehe 04 Aprili, 2021 na wateule wataapishwa Jumanne tarehe 06 Aprili, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Gerson Msigwa

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU

Dar es Salaam

04 Aprili, 2021

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news