Simba SC mguu sawa kuwavaa Al Ahly mjini Cairo leo

"Tuna mchezo mgumu wa kucheza, mchezo muhimu kwetu kuwaonyesha kuwa tumekua timu kubwa na kwa uhakika tutamaliza kwenye nafasi ya kwanza kwenye hili kundi," Kocha Gomes kuelekea mchezo wa Al Ahly utakaopigwa leo Ijumaa hapa Cairo, Misri.

Post a Comment

0 Comments