Waziri Simbachawene ateta na Balozi wa Uingereza


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, David Concar (kulia), walipokutana kwa mazungumzo leo katika Makao Makuu ya wizara,jijini Dodoma.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), walipokutana kwa mazungumzo leo katika Makao Makuu ya wizara jijini Dodoma.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news