Ziara ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar yaegeuka faraja kwa wanajamii
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud, akamilisha awamu ya kwanza ya ziara yake ya kuwatembelea wananchi wenye matatizo mbalimbali wakiwemo wagonjwa katika kisiwa cha Uguja jijini Zanzibar.Leo Aprili 27, 2021 ameikamilisha ziara yake katika Mkoa wa Mjini,katika ziara hiyo amepata fursa ya kuwatembelea na kuwajulia hali wananchi 11 katika mkoa huo.

Post a Comment

0 Comments