IGP SIRRO ATETA NA MAAFISA, ASKARI


Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na maafisa na askari (hawapo Pichani) wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni katika kikao kazi maalum leo tarehe 26/05/2021 ambapo amewaagiza kusimamia sheria za nchi ipasavyo na kuendelea kuwachukulia hatua kali wale wanaojihusisha na vitendo vya kihalifu. (Picha na Jeshi la Polisi).

Post a Comment

0 Comments