Maandalizi Mbio za Mwenge wa Uhuru yapamba moto Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama pamoja na viongozi wa ofisi yake wakioneshwa muonekano wa uwanja Mwehe wakati wa maandalizi ya kufikia uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2021, anayetoa maelezo hayo ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana wa ofisi hiyo, Bw.James Kajugusi, kulia kwa Waziri ni Naibu wake Mhe Ummy Nderiananga (Wenye Ulemavu) na wa kwanza kushoto ni Naibu wake (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe. Patrobas Katambi.Waziri alifanya ukaguzi huo Mei 15, 2021 katika Viwanja vya Mwehe Makunduchi Mkoani Kusini Unguja Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadid akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama wakati wa kukagua maandalizi hayo.
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw.James Kajugusi akimuonesha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama mpangilio na maendeleo ya maandalizi ya kufikia siku uzinduzi wa Mbio za Mwenye wa Uhuru 2021 Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama pamoja na watendaji wake wakikagua jukwaa wakati maandalizi ya kufikia siku uzinduzi wa Mbio za Mwenye wa Uhuru 2021 Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) Mhe. Dkt. Halid Salim kizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya kukagua maandalizi hayo.
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw.James Kajugusi akimuonesha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama mpangilio na maendeleo ya maandalizi ya kufikia siku uzinduzi wa Mbio za Mwenye wa Uhuru 2021 Zanzibar.
Vijana wakimbiza Mwenge wa Uhuru 2021 wakifanya mazoezi wakati wa maandalizi hayo. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news