Rais Dkt.Mwinyi awasili Maputo kumwakilisha Rais Samia mkutano wa dharura


"Nimewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Mavalane jijini Maputo Msumbiji na kupokelewa na Waziri wa Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto wa Msumbiji Mhe. Nyeleti Brooke Mondlane. Kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan natarajia kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali (SADC Extraordinary Double Troika Summit) unatarajiwa kuanza leo Mei 27, 2021 jijini Maputo,"Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi.

Post a Comment

0 Comments