Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2021 wafana


Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah akizindua Mwenge wa Mbio Maalum za Uhuru 2021 katika Uwanja wa Mwehe kwa lengo la kuzindua Mbio za Mwenye wa Uhuru 2021 Mkoani Kusini Unguja Zanzibar Mei 17, 2021.Kulia kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama na kushoto kwake ni Kaimu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Leila Mussa.
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah akizindua Mwenge wa Mbio Maalum za Uhuru 2021 katika Uwanja wa Mwehe Mkoani Kusini Unguja Zanzibar Mei 17, 2021.
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah akikabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge 2021 Luteni Josephine Mwambashi wakati wa uzinduzi wa Mbio hizo za Mwenge huo.
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah akihutubia wananchi wakati wa Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2021 Mkoani Kusini Unguja Zanzibar Mei 17, 2021.
Wakimbiza Mwenge 2021 wakiingia uwanjani wakati wa uzinduzi huo.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Leila Mussa akitoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi mara baada ya uzinduzi huo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2021 Mkoani Kusini Unguja.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama pamoja na Kaimu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Leila Mussa wakicheza pamoja na vijana Wakereketwa na Wana Maskan wa Kijangwani wakati wa uzinduzi huo.
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Mwehe kwa lengo la kuzindua Mbio za Mwenye wa Uhuru 2021 Mkoani Kusini Unguja Zanzibar Mei 17, 2021.
Vijana wa Skauti wakimvika Skafu ya Heshima mgeni Rasmi wa Uzinduzi wa Mbio za Mwenge Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdallah mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Mwehe kwa ajili ya Uzinduzi wa Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru 2021 katika mkoa wa Kusini Unguja Mei 17, 2021.
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdallah akisalimiana na viongozi mbalimbali alipowasili katika uzinduzi wa mbio za Mwenge Mkoani Kusini Unguja Mei 17, 2021.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akitenda jambo na Katibu Mkuu wa Ofisi yake Bw. Tixon Nzunda wakati wa Uzinduzi huo.
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah akipokea utambulisho wa Wakimbiza Mwenge wa Uhuru 2021, wakati wa uzinduzi huo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akimtunza Bi. Sheira wakati akiimba wimbo maalum wakati wa uzinduzi huo.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mbio Maalum za Mwenge zilizozinduliwa katika mkoa wake, hii leo Mei 17, 2021. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news